Mbinu Ya Kufanikisha 'Athari Ya Mzunguko'

Mbinu Ya Kufanikisha 'Athari Ya Mzunguko' anaume ambao wanataka kujua jinsi ya kumsisimua mwanamke kwa kutumia maneno huwa wanatafuta mstari mmoja ambao utafanya kazi kama hirizi ili kumpandisha mzuka mwanamke yeyote. Lakini utafutaji wa mstari huu si jambo lisilowezekana pekee (mistari hii haipo) bali pia ni vigumu kutumika. Ok. kawaida inakuwa hivi, kuna mbinu tofauti tofauti za kumsisimua mwanamke kwa kutumia matamshi. Kwa kuielewa mitindo na sehemu tofauti tofauti ambazo zinaonekana kiurahisi, unaweza kumpata mwanamke na kumsisimua kuliko mstari wowote ule ambao ushawahi kutumika. Na kwa kulizungumzia swala hili, tumekuja na mbinu ambayo utaitumia kumfanya mwanamke asisimkwe na wewe hata bila ya yeye kupata nafasi ya kufikiria iwapo anakupenda au la. Mbinu hii tumeipa jina 'Athari ya Mzunguko' [Soma utanguliza wa chapisho hili HAPA ] Zama nami... So tutafanyaje mpaka mwanamke aathirike na 'Athari ya Mzunguko'? Kama paneli ya Nesi Mapenzi, tumeandaa ha...