Posts

Showing posts with the label Simulizi

DOWNLOAD APP YA UTUNDU KITANDANI TOLEO JIPYA HAPA

Image
APP YETU NI HII KAMA UNA APP TOFAUTI NA HII DOWLOAD HII KWA MATUMIZI YAKO APP YETU NI HII KAMA UNA APP TOFAUTI NA HII DOWLOAD HII KWA MATUMIZI YAKO DOWNLOAD HAPA  Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome   Install Application ya Raha Za Wakubwa tu Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi =>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Simulizi : Ndoa Yangu Inanitesa Sehemu Ya Tatu (3)

Image
Simulizi : Ndoa Yangu Inanitesa Sehemu Ya Tatu (3) Kampuni yetu iliitwa JOPHU MINING TRANSPORT CO LTD, mwenye Kampuni yetu, alijulikana kwa jina la Mzee Jophu Kundy . Ndiye alikuwa Mkurugenzi na mmiliki wa Kampuni. Kipindi cha miaka ya sabini kulikuwa hakuna gonjwa la Ukimwi, kama lilikuwepo basi ilikuwa halijajulikana kama sasa. Nilikuwa nikienda Nchi Thailand kila wiki kuuza madini aina ya Tanzanite. Siku zote nilikuwa na urafiki wa karibu na mmiliki wetu Mzee Jophu. Hakuna hata mtu mmoja aliyethubutu kuongea na mzee Jophu aliyeonekana mwenye uso wa ukali saa zote. Haikuwahi kupita siku bila mzee Jophu kuita “Sweedy njoo” nk.Alikuwa kazoea jina langu , pia alinipenda kama mwanae. Siku moja niliondoka katika uwanja wa Kia (Kilimanjaro International Airport) nikielekea Nchini Thailand, Bang kok.Vaaa yangu toshani kielelezo kwa mtu asiyenifahamu,kusema mimi ni mtu mwenye pesa za kunifanya niitwe tajiri. Nilivaa suti ya kijivu,chini nilivalia viatu vya mchongoko,vijana wa sa

Simulizi : Ndoa Yangu Inanitesa Sehemu Ya Pili (2)

Image
Simulizi : Ndoa Yangu Inanitesa Sehemu Ya Pili (2) “Bw. Kachenje inamaana uwingi wa wanawake ulimwenguni umekosa umpendaye?”Lilikuwa swali nililoulizwa na rafiki yangu.Hatahivyo nilishinda kumjibu na hatimaye nikamdharau. “Inamaana kuchagua mke wa kuishinae ni sawa na kuokota fungu la samaki sokoni ama vipi?”Nilijiuliza bila kujijibu kwa wakati huo. Nilishindwa kuokota mke ilimradi mke kama vile mtu anavyookota nyanya sokoni na kulipa pesa, nafikiri hata anayeokota nyanya nae huchagua. Japo kuna usemi usemao mchagua nazi hupata koroma usemi huo niliupinga na kuutupilia mbali. Niliamini usemi wa kuoa ni kuoa pengine ningefanya hivyo basi ndoa yangu isinge kuwa na ladha ya unyumba na isingedumu maishani. Nilijawa na imani kuwa mke mwema hupewa na Mungu, niliishi kwa matumaini ya Mungu na nilitegemea msaada mkubwa kutoka kwake. Wazazi wangu Mungu aliwapa baraka walikuwa hai wakinisubiri nioe wamuone mkwe na wajukuu wao kabla ya kufa. Kwa bahati mbaya sikuweza kupewa upeo wa

Simulizi : Ndoa Yangu Inanitesa Sehemu Ya Kwanza (1)

Image
Nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja ya usafirishaji wa madini kutoka Tanzania kupeleka Bang kok nchini Thailand. Kampuni yetu ikiwa ya mtu binafsi na ilikuwa Mkoani Arusha. Mimi Sweedy Kachenje ndiye niliyekuwa idara ya usafirishaji, nikiwa afisa mauzo. Katika maisha yangu yote nilitegemea sana na nilihitaji kuwa na mwenzi wa kuishi naye, kama vile familia nyingine bora ambazo kila siku zina furaha na ridhaa. Kwa kila mmoja kuwa mwanandani wa mwenzake. Pia nilimuomba mungu kwa kila hali si kanisani na hata nikiwa katika mapumziko yangu, anipatie mwanamke ambaye angenifaa katika maisha yangu.Kila siku palipokucha,niliamka nikiwa na wazo la kumpata nimpendaye na anipendaye.Niliamini hivyo japo sikuwa na uhakika kama kweli ningepata mtu kama huyo maishani mwangu. Siku zote nilijibidisha kuwa mfano bora ili niweze kupata mchumba, nilikuwa mtiifu, nikiwa heshimu wenzangu na kushirikiana nao vema kujenga Taifa.Kujaribu kuwa na marafiki wengi wa jinsia tofauti. Nilijitahi

KAMA UMEWAHI KUFANYA NGONO KATIKA NDOTO

,KAMA UMEWAHI KUFANYA NGONO KATIKA NDOTO sitisha unachofanya na usome hili andiko Imefasiriwa na Teluvica Teluvica Jr. Katika hoteli ambayo nilikuwa naishi, Ilikuwa asubuhi namapema,nilipokuwa naenda kupata kifungua kinywa,nilikutana na kijana mmoja aliyekuwa anafanya kazi katika hoteli hiyo Niliamua kuanzisha mazungumzo naye,kwanza nilimuita ili aweze kujumuika na mimi,kitu ambacho alifanya na baadae kuanza mazungumzo yetu. Katikati ya mazungumzo yetu,aliniambia jinsi gani alikuwa amehitimu chuo kikuu cha daresaami katika shahada ya uchumi Kuanzia hapo,alianza kutafuta kazi bila mafanikio,mpaka alipoamua kutafuta kazi za hotelin kama mhudumu. Sehemu ya stori yake inayosikitisha nikwamba,kila mtu aliyetaka kumsaidia alifariki ghafla au alipata umasikini Hakuyaelewa maisha yake kwa ujumla japo aliamua kuyaishi hivohivo. Aliniambia kuwa,kila mara alipoahidiwa kazi na mtu,ghafla usiku,mwanamke mrembo alikuwa anakuja nakufanya mapenzi naye kitu kilichopelekea ahadi yakazi kuye

KATELELO STYLE

Image
KATELELO STYLE