KAMA UMEWAHI KUFANYA NGONO KATIKA NDOTO

,KAMA UMEWAHI KUFANYA NGONO KATIKA NDOTO sitisha unachofanya na usome hili andiko
Imefasiriwa na Teluvica Teluvica Jr.

Katika hoteli ambayo nilikuwa naishi,
Ilikuwa asubuhi namapema,nilipokuwa naenda kupata kifungua kinywa,nilikutana na kijana mmoja aliyekuwa anafanya kazi katika hoteli hiyo

Niliamua kuanzisha mazungumzo naye,kwanza nilimuita ili aweze kujumuika na mimi,kitu ambacho alifanya na baadae kuanza mazungumzo yetu.

Katikati ya mazungumzo yetu,aliniambia jinsi gani alikuwa amehitimu chuo kikuu cha daresaami katika shahada ya uchumi

Kuanzia hapo,alianza kutafuta kazi bila mafanikio,mpaka alipoamua kutafuta kazi za hotelin kama mhudumu.

Sehemu ya stori yake inayosikitisha nikwamba,kila mtu aliyetaka kumsaidia alifariki ghafla au alipata umasikini
Hakuyaelewa maisha yake kwa ujumla japo aliamua kuyaishi hivohivo.

Aliniambia kuwa,kila mara alipoahidiwa kazi na mtu,ghafla usiku,mwanamke mrembo alikuwa anakuja nakufanya mapenzi naye kitu kilichopelekea ahadi yakazi kuyeyuka.

Watu wengi wanapitia katika haya.
Soma kwa umakini,!! Kufanya mapenzi katika ndoto inamaana umeolewa na majini. Hakuna kitu au mtu mwenye wivu kama jini lakiume au kike linalokuwa limekuoa.(Spiritual husband or wife)

Unapojamiana katika ndoto,unakuwa umeacha damu yako katika mapepo hivohivo,mwanaume au mwanamke unakuwa ubakisha damu yamapepo katika mwili wako

Popote uendapo unakuwa umebeba mapepo katika mwili wako ndio maana kila unachofanya hakifanikiwi.
Maisha yako yatakuchanganya nakukutesa mpaka utakapo anza kukufuru kama kweli Mungu huwa anaishi.

Nilimuombea huyo kijana na katika usiku huo katika ndoto, mwanamke alimtokea nakumpa pete na akamuaga.

Na ninavoandika leo,anafanya kazi katika benki ya Access (access bank) ameoa na anawatoto wenye siha njema

Je, umewahi kufanya ngono katika ndoto?
Unahitaji ukombozi!

Tumia kidole kimojawapo cha mkono wa kulia na andika moto mara 7 na sambaza huu ujumbe mara 7,kabla yakuamka kesho,utapata ndoto ambayo pepo litakuja kukuaga.
Huo ndiyo mwisho wa spiritual wife and husband.
Hakuna tena ngono katika ndoto. Imekwisha. Jaribu na uone

Comments

Popular posts from this blog

Types Of Hugs Women Give And Their Hidden Meanings

Do you know how to use Love sayings? Here are some for you