Video: JINSI YA KUFIKA KILELENI KWA PAMOJA
Kufika kileleni ni nini?
Hii ni hali ya mwanamke kufika mshindo baada ya kushiriki tendo la ndoa au kujichua mwenyewe, hali hii humfanya hamu ya ngono aliyekuWa nayo mwanzo kupungua sana.
Hii ni hali ya mwanamke kufika mshindo baada ya kushiriki tendo la ndoa au kujichua mwenyewe, hali hii humfanya hamu ya ngono aliyekuWa nayo mwanzo kupungua sana.
Katika 100% ya wanawake wanaojihusisha na tendo la ndoa, ni asilimia 57% tu ndio wanaofanikiwa kufika kileleni. Hii ni idadi kubwa sana na inaweza kusababisha kuvunjika kwa mahusiano kulingana na chanzo. mara nyingi wanawake amabao wameshawahi kufikishwa kileleni huko nyuma au hufika kileleni kwa kujichua wao wenyewe, huweza kuwaacha wanaume zao wapya ambao kimsingi wameshindwa kuwafikisha tofauti na wale ambao hawajawahi kufika kileleni kabisa na wengine wameshakua kwenye mahusiano ya wanaume mpaka sita lakini bado.
Hawa amabao hawajawahi kabisa sio rahisi kuachana na wanaume zao kwani wao wameshajua tatizo liko kwao. Sasa ni kwamba bado kuna wanaume wengi ambao huwa wanapata hofu yaani hawajui kama wanawake zao wanafika kileleni au vipi.. kuna aina mbili za wanawake….wapo ambao wanasema ukweli hawajafika na wapo ambao wanadanganya wamefika ili umuache aendelee na shughuli zingine kwani haoni dalili za kufikishwa na kama umekutana naye kwa mara ya kwanza anaweza asikubali tena kulala na wewe.
zifuatazo ni dalili muhimu;
Comments
Post a Comment